Ikulu Tanzania
Ikulu Tanzania
  • Видео 2 367
  • Просмотров 30 920 534

Видео

HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA - HOTELI YA LOTTE SEOUL, JAMHURI YA KOREA
Просмотров 67414 дней назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA MIUNDOMBINU BAINA YA KOREA NA AFRIKA JUNI 5, 2024
Просмотров 1,2 тыс.14 дней назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ulifanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni, 2024
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA ULIOFANYIKA KINTEX - JAMHURI YA KOREA
Просмотров 78621 день назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.
H.E Samia Suluhu Hassan's Honorary Doctorate Ceremony Speech
Просмотров 40321 день назад
Hotuba iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.
HOTUBA YA RAIS SAMIA WAKATI AKITUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA KWENYE SEKTA YA ANGA-KOREA
Просмотров 26021 день назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kutunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) kilichopo Seoul Jamhuri ya Korea leo tarehe 03 Juni, 2024.
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA ALBAM YA 5 YA HARMONIZE - MLIMANI CITY
Просмотров 1,4 тыс.28 дней назад
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA ALBAM YA 5 YA HARMONIZE - MLIMANI CITY
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KWENYE MIAKA 20 YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA - JNICC
Просмотров 83928 дней назад
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KWENYE MIAKA 20 YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA - JNICC
Songa na Samia Ep 3
Просмотров 77628 дней назад
Songa na Samia Ep 3
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKUTANO WA KWANZA UNAOHUSU NISHATI
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKUTANO WA KWANZA UNAOHUSU NISHATI
HOTUBA YA UZINDUZI WA KIWANDA CHA SATURN CORPORATION LIMITED KIGAMBONO TAREHE 09 MEI, 2024
Просмотров 1,4 тыс.Месяц назад
HOTUBA YA UZINDUZI WA KIWANDA CHA SATURN CORPORATION LIMITED KIGAMBONO TAREHE 09 MEI, 2024
HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA - NAIROBI, KENYA
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA - NAIROBI, KENYA
Songa na Samia inaangazia Mradi wa Kimkakati wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
Songa na Samia inaangazia Mradi wa Kimkakati wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere
SONGA NA SAMIA - SS, MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Просмотров 9732 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
HOTUBA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA UTURUKI- ISTANBUL
Просмотров 2 тыс.2 месяца назад
HOTUBA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA UTURUKI- ISTANBUL
HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUTUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA, UTURUKI
Просмотров 5 тыс.2 месяца назад
HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUTUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA, UTURUKI
SONGA NA SAMIA - SS, AFYA
Просмотров 3332 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, AFYA
SONGA NA SAMIA - SS, ELIMU
Просмотров 1232 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, ELIMU
SONGA NA SAMIA - SS, VIWANDA NA BIASHARA
Просмотров 1202 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, VIWANDA NA BIASHARA
SONGA NA SAMIA - SS, UWEKEZAJI
Просмотров 682 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UWEKEZAJI
SONGA NA SAMIA - SS, MIFUGO NA UVUVI
Просмотров 1142 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, MIFUGO NA UVUVI
SONGA NA SAMIA - SS, UTUMISHI
Просмотров 882 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UTUMISHI
SONGA NA SAMIA - SS, UTALII
Просмотров 2072 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UTALII
SONGA NA SAMIA - SS, UJENZI
Просмотров 1292 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UJENZI
SONGA NA SAMIA - SS, FEDHA
Просмотров 472 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, FEDHA
SONGA NA SAMIA - SS, UCHUKUZI
Просмотров 1042 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UCHUKUZI
SONGA NA SAMIA - SS, TAMISEMI
Просмотров 732 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, TAMISEMI
SONGA NA SAMIA - SS, SERA, BUNGE NA URATIBU
Просмотров 1932 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, SERA, BUNGE NA URATIBU
SONGA NA SAMIA - SS, SANAA NA MICHEZO
Просмотров 572 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, SANAA NA MICHEZO
SONGA NA SAMIA - SS, NISHATI
Просмотров 572 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, NISHATI

Комментарии

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson 18 часов назад

    Rest in peace the legend sasa we suffer baada ya kuondoka

  • @YohanaMaige
    @YohanaMaige 22 часа назад

    😅

  • @MUDUBKisalo
    @MUDUBKisalo День назад

    No Magu,no Tz. Ndanenatu. Ukweli husemwa

  • @bwayshafii
    @bwayshafii День назад

    Jamani tutakukumbuka daima

  • @johnsebastian4868
    @johnsebastian4868 2 дня назад

    JK mbona alikuwa anacheka kinafiki sana

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 2 дня назад

    Mwamba tutakukumbuka mbunifu

  • @efrembenad9037
    @efrembenad9037 2 дня назад

    Salut kwa doctor pombe magufuli

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 3 дня назад

    SSH❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kilimanjarostarlounge
    @kilimanjarostarlounge 3 дня назад

    speed ya maeendeleo imepungua mama sijui anaogopa nini tusimpambe uwo ndo ukweli maendeleo yote kafanya baba yetu magufuli yeye atuoni ata kama anatekeleza sijui kaz iendele hamna kitu hii nchi apewe makonda kwa mwaka mmoja tu af makamu mwambukusi mama aone kasi ndani ya mwaka mmoja uchumi wa kati tunarudi watanzania tusiogope kusema kweli tutauolizwa na mungu uliifanyia nini nchi yako hat kusema kweli mnashindwa

  • @FredrickKabura-gd7hg
    @FredrickKabura-gd7hg 3 дня назад

    Salamalaikumustadhat.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 дня назад

    Hii Tanzania ingepata 'kichwa' ingekuwa 'anchor state' katika Afrika, taji ambalo Kenya inajaribu kulichukua ingawaje haikutoa mchango wowote katika ukombozi. Ilipoombwa na ANC kutoa msaada, ilitoa Landrover moja! Tungeongoza Afrika hata kwa lugha tu. Hivi sasa nchi nyingi Afrika zinataka kuachana na upuuzi wa kutumia lugha za Wazungu kuwasiliana hata wao kwa wao. Sisi ndiyo kwanza twakifagilia Kiingereza na hata Kiswahili chetu si fasihi! Ni vizuri kujifunza Kiingereza vizuri sana, na pia Kiswahili. Ila jamani kwa kweli Mwalimu aliona mbali saaana. Hakuna aliyetokea bado, mwenye maonio yake. Hii si kusema hakufanya makosa- hasa ya uchumi, demokrasia- yeye alikuwa binadamu.

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 дня назад

    Hongera sana kwa ubunifu mkubwa juu ya Tume ya haki jinai ambapo lkn pamoja na mapendekezo hayo mengi lkn kubwa zaidi ni kuhakikisha Taasisi zetu nyeti zinakuwa na ufuatiliaji juu ya utendaji wao kwa kutumia vikosi vyenye meno zaidi Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu.

  • @trendings1293
    @trendings1293 3 дня назад

    Mbona kama makamba haelewe utaratibu😂😂😂😂😂

  • @niyongabovenant2535
    @niyongabovenant2535 3 дня назад

    Hangariya makosa we mama Suluhu uko unafaniabuko eastern congo, kuwawa watutsi wanaopiganiya kuishi kwa ardhi yawo, mweote muko matapeli, wongo mtupu! Muace ubaguzi wabkisekedi na ndayishimiye, siyo unguana kua tanzaniya ilijulikana kuunga mkono kwawa freedom fighters!

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 3 дня назад

      Weee! Pumbaf, acha Utusi hapa! Nyie si mlisema Rwannda kuna kabila moja tu la Banyarwanda? Halafu mkaja mkayaita mauaji ya Kimbari kuwa ni 'mauaji ya Watusi' mkisahau mliyoyasema. Watusi si kwao DRC. Walikimbilia kule kama Wakimbizi katika vipindi tofauti vya macjhafuko Rwanda.. Sasa Watusi waliokimbilia Uganda, Tanzania wamerudi, kwa nini wa Congo hawarudi nyumbani? Kwa nini mnaidai nchi ya watu? Kama mwataka kukaa kwa amani sawa. Maaana wako Watusi Tanzania, Uganda wamekubali kukaa kwa amani kama raia. Ila nyie wa Congo mwataka muifanye DRC ni Rwanda ndogo. Halikubaliki. Na msifanye watu wajinga.

  • @niyongabovenant2535
    @niyongabovenant2535 3 дня назад

    Nanihuyu laisi na wa benin waritisha sana kwa kuvamiya nchi ya Niger! Uyo na Wa benin, ivory cost, wanasahidiya ma terrorist na kuvamiya izo inchi tatu nilitaja apo juu!

  • @niyongabovenant2535
    @niyongabovenant2535 3 дня назад

    Sasa huyu ni muswahili wahali yajuu! Ni mwongo, ndiyo umuja katika ma laisi ya CDEAO wanaleta migogoro kwazingini inchi za Niger,Mali, na Burkina Faso wanataka kuondokana namu kolonie ufransa!

  • @wabongoughaibunimediaprodu4471
    @wabongoughaibunimediaprodu4471 4 дня назад

    KAZI IENDELEE

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 4 дня назад

    Magufuli ndio alikua na sifa hizo zote

  • @levinareuben
    @levinareuben 4 дня назад

    Tulipoteza shujaa wa kweli ee mungu tuhurumie.

  • @levinareuben
    @levinareuben 4 дня назад

    Tulipoteza shujaa wa kweli, ee mwenyezi mungu tuhurumie.

  • @BarakaLulay
    @BarakaLulay 6 дней назад

    Jaman magu

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 6 дней назад

    Ni 2024 ila uyu jamaa kama amefariki jana 🫡🙌🏼 rest in peace CHUMA

  • @TimasMwambene
    @TimasMwambene 6 дней назад

    Huyu kweli alikuwa rais yaan wa kumfananisha naye bado Sana.

  • @emaenimongo5359
    @emaenimongo5359 7 дней назад

    Who killed this Man? The west always have a patern of eliminating African revolutionaries.

  • @SaidiSaidi-zx5kj
    @SaidiSaidi-zx5kj 7 дней назад

    Magufuri nijembe

  • @user-bp9pm5vm5p
    @user-bp9pm5vm5p 7 дней назад

    ..Vamos....M & P ... Vjana Tunasubili Tuingie Mzgoni

  • @user-lw1ge5qh8k
    @user-lw1ge5qh8k 7 дней назад

    😂😂😂

  • @HabibBakar-gm1rs
    @HabibBakar-gm1rs 7 дней назад

    Nakupend rais wang Allah akufanyie wepes kweny majkum yko amiin

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 7 дней назад

    Akasema: Je, sikukwambia kuwa hutaweza kunivumilia? ” Basi wakaondoka mpaka walipofika kwa watu wa mji fulani wakatafuta chakula kwa watu wake, lakini wakakataa kuwakaribisha, na wakakuta humo ukuta unaotaka kubomolewa, basi akausimamisha. Akasema: “Kama hukuchukua ujira kwa ajili yake (77) Ni wapi wanafanya kazi baharini, na nikataka kuipoteza, na kufaulu kwao ni mfalme anayechukua kila merikebu inayovurugwa (79). na aliye mwema wamezidiwa na dhulma na upatanisho (80), basi tukataka kuwaweka badala yao Mola wao Mlezi, kheri kuliko hiyo ni zaka na mkuruhu wa rehema. baba yao alikuwa mwadilifu, kwa hivyo Mola wako Mlezi alitaka kuifikia Yel kali zaidi isipokuwa mvumilivu kwake (82) Na wanakuuliza kuhusu Dhul-Qarnayn - Sema: “Nitakusomeeni ukumbusho wake” (83) Kwa nini ewe bwana wangu mtukufu je unakimbilia kunihukumu, basi subiri Mwenyezi Mungu humpa hekima amtakaye, basi nivumilie, kama alivyosema Mola wangu Mlezi katika wahyi madhubuti wa Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu. Anasema: Na wabashirie wenye subira ambao ukiwasibu msiba husema: “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema hao ndio walioongoka [Surat Al-Baqarah: 155-157] Basi nivumilieni wala msikimbilie kuhukumu hili, na rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na aali zake na maswahaba zake. juu yao wote, Ee Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote.☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻

  • @estherdominic1673
    @estherdominic1673 7 дней назад

    Hongera sana Rais wetu tuajivunia sana na kuwa na Rais mama jasili na mchapa kazi asiyekupenda Rais naye huyo da sijui niseme nae ana matatizo tu

  • @magesagambajr3546
    @magesagambajr3546 8 дней назад

    Ukiangalia sana hotuba za huyu mwamba unaweza kujikuta unatukana sana uongozi tuliyo nao kwa sasa nakujikuta pengine upo jera kwa ujinga tunao uona sasa ila sasa tunafanya je

  • @magesagambajr3546
    @magesagambajr3546 8 дней назад

    Manabii na mitume wa Mungu mara Nyingi huja km kivuli huyu Jpm bila shaka alikuwa nabii amefanya sehem yake Nakutuachia sisi tuliyo hai kubaki na somo

  • @eliamwankenja7087
    @eliamwankenja7087 9 дней назад

    Nakukumbaka sana najakaya rasii mpendwa

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 9 дней назад

    Samia ndo kumbe Rais ajae 17:14-17:38..Ila dah Magufuli alikuwa machine kali kweli. Tunakushuku MUNGU Mkuu Uonae mbele zaid ya mwanadamu. Utukufu Kwko Baba. tunakushukuru kwa zawadi ulitupa Magufuli

  • @hakarim786
    @hakarim786 10 дней назад

    Raisi ateue kitengo ofisini kwake kusimamia utekelezaji wa haya maazimio ya tume hii ya haki jinai

  • @hakarim786
    @hakarim786 10 дней назад

    Raisi ateue kitengo ofisini kwake kusimamia utekelezaji wa haya maazimio ya tume hii ya haki jinai

  • @user-um5uw9yo5q
    @user-um5uw9yo5q 10 дней назад

    Yani 😂😂😂😂😂😂😂

  • @serengetitv
    @serengetitv 10 дней назад

    kaziiendelee

  • @samwelalex56
    @samwelalex56 10 дней назад

    Kongole Mheshimiwa Rais.

  • @sagangohe.bukombe131
    @sagangohe.bukombe131 10 дней назад

    Good report

  • @user-uo7vz4ji4u
    @user-uo7vz4ji4u 10 дней назад

    Muweke na sheria ya kubaini mikataba chochefu kabla haijapita

  • @obadiazabroni6518
    @obadiazabroni6518 10 дней назад

    Mama maono ya Taifa yaambukizwe Kwa vijana pia

  • @Makinitv_TZ
    @Makinitv_TZ 10 дней назад

    Hongera kwa kazi nzuri

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 10 дней назад

    Tunachohitaji ni katiba mpya habari za tume zimekuwa nyingi mno zisizo na tija maoni ya wananchi yafuatwe wenye nchi ni wananchi

  • @user-vf8wv8hi5b
    @user-vf8wv8hi5b 10 дней назад

    Jpm bas Mzee wangu endelea kupumzika kwa amani my president

  • @ThomasThomas-lk8ez
    @ThomasThomas-lk8ez 11 дней назад

    Uyovu uyovu uyovu

  • @HurumaAntony
    @HurumaAntony 11 дней назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @IreneGeorge-yw2gm
    @IreneGeorge-yw2gm 11 дней назад

    R.l.P magufuri

  • @menyengeralesinoi9647
    @menyengeralesinoi9647 12 дней назад

    Sasa ulikufa wabunge wako siku hizi wanapiga minada tu rasilimali za nchi,deni trilioni 92😢

  • @Amos-sq9yd
    @Amos-sq9yd 12 дней назад

    Wapi likes sa magufuli